Yos. 14:14 SUV

14 Kwa hiyo Hebroni ukawa urithi wa Kalebu, mwana wa Yefune, Mkenizi, hata leo; kwa sababu alimwandama BWANA, Mungu wa Israeli, kwa utimilifu.

Kusoma sura kamili Yos. 14

Mtazamo Yos. 14:14 katika mazingira