Yos. 14:15 SUV

15 Basi jina la Hebroni hapo kwanza uliitwa Kiriath-arba; huyo Arba alikuwa ni mtu mkubwa kupita wenziwe wote katika hao Waanaki. Hiyo nchi nayo ikatulia, vita vikakoma.

Kusoma sura kamili Yos. 14

Mtazamo Yos. 14:15 katika mazingira