Yos. 15:1 SUV

1 Kura ya kabila ya wana wa Yuda kwa kuandama jamaa zao ilikuwa kufikilia hata mpaka wa Edomu, hata bara ya Sini upande wa kusini, huko mwisho upande wa kusini.

Kusoma sura kamili Yos. 15

Mtazamo Yos. 15:1 katika mazingira