Yos. 15:4 SUV

4 kisha ukaendelea hata Azmoni, na kutokea hapo penye kijito cha Misri; na matokeo ya huo mpaka yalikuwa baharini; huu ndio mpaka wenu wa upande wa kusini.

Kusoma sura kamili Yos. 15

Mtazamo Yos. 15:4 katika mazingira