Yos. 15:5 SUV

5 Na mpaka wa upande wa mashariki ulikuwa Bahari ya Chumvi, hata mwisho wa mto wa Yordani. Na mpaka wa upande wa kaskazini ulikuwa kutoka pale penye hori ya baharini mwisho wa mto wa Yordani;

Kusoma sura kamili Yos. 15

Mtazamo Yos. 15:5 katika mazingira