Yos. 17:14 SUV

14 Kisha wana wa Yusufu wakanena na Yoshua, wakasema, Kwa nini umenipa mimi kura moja tu na fungu moja kuwa ni urithi wangu, kwa kuwa mimi ni taifa kubwa la watu, kwa sababu BWANA amenibarikia hata hivi sasa?

Kusoma sura kamili Yos. 17

Mtazamo Yos. 17:14 katika mazingira