Yos. 17:13 SUV

13 Kisha ikawa, hapo hao wana wa Israeli walipokuwa wamepata nguvu zaidi, ndipo wakawatenza nguvu hao Wakanaani wafanye kazi ya shokoa, wala hawakuwafukuza kabisa.

Kusoma sura kamili Yos. 17

Mtazamo Yos. 17:13 katika mazingira