Yos. 18:4 SUV

4 Haya, jichagulieni watu watatu kwa ajili ya kila kabila; nami nitawatuma, nao watainuka waende kati ya hiyo nchi, na kuiandika kama urithi wao ulivyo; kisha watanijilia mimi.

Kusoma sura kamili Yos. 18

Mtazamo Yos. 18:4 katika mazingira