Yos. 19:1 SUV

1 Kisha kura ya pili ilitokea kwa ajili ya Simeoni, maana, kwa ajili ya hiyo kabila ya wana wa Simeoni, kwa kuandama jamaa zao; na urithi wao ulikuwa katikati ya urithi wa wana wa Yuda.

Kusoma sura kamili Yos. 19

Mtazamo Yos. 19:1 katika mazingira