Yos. 21:1 SUV

1 Wakati huo hao vichwa vya nyumba za mababa ya Walawi wakamwendea Eleazari, kuhani, na Yoshua, mwana wa Nuni, na hao waliokuwa vichwa vya nyumba za mababa ya kabila za wana wa Israeli;

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:1 katika mazingira