Yos. 21:2 SUV

2 wakanena nao hapo Shilo katika nchi ya Kanaani, wakisema, Yeye BWANA aliamuru kwa mkono wa Musa kwamba sisi tupewe miji tupate kukaa humo, pamoja na malisho yake kwa ajili ya wanyama wetu wa mifugo.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:2 katika mazingira