Yos. 21:3 SUV

3 Basi wana wa Israeli wakawapa Walawi miji hii, pamoja na malisho yake, katika urithi wao, sawasawa na hiyo amri ya BWANA.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:3 katika mazingira