Yos. 21:4 SUV

4 Kura ikatokea kwa ajili ya jamaa za Wakohathi; na wana wa Haruni kuhani, waliokuwa katika Walawi, walipata miji kumi na mitatu kwa kura katika kabila ya Yuda, na katika kabila ya Simeoni, na katika kabila ya Benyamini.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:4 katika mazingira