5 Kisha Wakohathi wengine waliosalia walipata kwa kura katika jamaa za kabila ya Efraimu, na katika kabila ya Dani, na katika hiyo nusu ya kabila ya Manase, miji kumi.
Kusoma sura kamili Yos. 21
Mtazamo Yos. 21:5 katika mazingira