Yos. 21:43 SUV

43 Basi BWANA aliwapa Israeli nchi hiyo yote, ambayo aliapa kwamba atawapa baba zao; nao wakaimiliki, na kukaa mumo.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:43 katika mazingira