Yos. 21:44 SUV

44 Kisha BWANA akawapa raha pande zote, sawasawa na hayo yote aliyokuwa amewaapia baba zao; wala katika adui zao wote hakusimama hata mtu mmoja miongoni mwao mbele zao; yeye BWANA akawatia adui zao wote mikononi mwao.

Kusoma sura kamili Yos. 21

Mtazamo Yos. 21:44 katika mazingira