Yos. 22:15 SUV

15 Nao wakawafikilia hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, na hiyo nusu ya kabila ya Manase, katika nchi ya Gileadi, na wakasema nao, wakinena,

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:15 katika mazingira