Yos. 22:16 SUV

16 Mkutano wote wa BWANA wanena, Ni kosa gani hili mlilolikosa juu ya Mungu wa Israeli, hata mkakengeuka hivi leo na kuacha kumwandama BWANA, katika kujijengea madhabahu, na kuasi hivi leo juu ya BWANA?

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:16 katika mazingira