Yos. 22:33 SUV

33 Wana wa Israeli nao wakaliridhia jambo hilo; nao wana wa Israeli wakamhimidi Mungu, wala hawakusema tena habari ya kuwaendea juu yao kupigana nao, wala kuiharibu nchi waliyoikaa wana wa Reubeni, na wana wa Gadi.

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:33 katika mazingira