Yos. 22:34 SUV

34 Basi hao wana wa Reubeni, na wana wa Gadi, wakaiita madhabahu hiyo Edi; wakasema, Kwa kuwa ni ushahidi kati yetu ya kwamba yeye BWANA ndiye Mungu.

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:34 katika mazingira