Yos. 22:8 SUV

8 kisha akanena nao, na kuwaambia, Rudini na mali mengi mahemani kwenu, na ng’ombe wengi sana, na fedha, na dhahabu, na shaba, na chuma, na mavao mengi sana; mzigawanye na ndugu zenu hizo nyara za adui zenu.

Kusoma sura kamili Yos. 22

Mtazamo Yos. 22:8 katika mazingira