Yos. 23:15 SUV

15 Kisha itakuwa, kama yalivyowafikilia yale mambo mema yote, BWANA, Mungu wenu, aliyowaahidia ninyi, kadhalika BWANA atawafikilizia mabaya yote, hata atakapokuwa amewaangamiza katika nchi hii njema, BWANA Mungu wenu, aliyowapa.

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:15 katika mazingira