Yos. 23:16 SUV

16 Hapo mtakapolivunja agano la BWANA, Mungu wenu, alilowaamuru, na kwenda kuitumikia miungu mingine, na kujiinamisha mbele yao, ndipo hasira ya BWANA itakapowaka juu yenu, nanyi mtaangamia upesi katika nchi hii njema aliyowapa.

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:16 katika mazingira