Yos. 24:1 SUV

1 Yoshua akawakusanya kabila zote za Israeli huko Shekemu, akawaita wazee wa Israeli, na wakuu wao, na waamuzi wao, na maakida wao nao wakahudhuria mbele za Mungu.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:1 katika mazingira