Yos. 24:2 SUV

2 Yoshua akawaambia watu wote, BWANA, Mungu wa Israeli, asema hivi, Baba zenu hapo zamani walikaa ng’ambo ya Mto, maana Tera, baba yake Ibrahimu, naye ni baba yake Nahori; wakaitumikia miungu mingine.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:2 katika mazingira