Yos. 23:2 SUV

2 Yoshua akawaita Israeli wote, wazee wao, na wakuu wao, na makadhi yao, na maakida yao, akawaambia, Mimi ni mzee, nami nimekwendelea sana katika miaka yangu;

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:2 katika mazingira