Yos. 23:3 SUV

3 nanyi mmeona mambo yote ambayo BWANA, Mungu wenu, amewatenda mataifa haya yote kwa ajili yenu; kwa maana BWANA, Mungu wenu, ndiye aliyewapigania ninyi.

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:3 katika mazingira