Yos. 23:4 SUV

4 Tazama, nimewagawieni kwa kura mataifa haya yaliyobaki, yawe urithi kwa kabila zenu, toka mto wa Yordani, pamoja na mataifa yote niliyowakatilia mbali, mpaka bahari kubwa upande wa machweo ya jua.

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:4 katika mazingira