Yos. 23:5 SUV

5 Yeye BWANA, Mungu wenu, atawatoa kwa nguvu mbele yenu, atawafukuza wasiwe mbele ya macho yenu tena; nanyi mtaimiliki nchi yao, kama BWANA Mungu wenu, alivyowaambia.

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:5 katika mazingira