Yos. 23:6 SUV

6 Basi, iweni mashujaa sana kuyashika yote yaliyoandikwa katika kitabu cha torati ya Musa, na kuyatenda, msiyaache kwa kugeukia upande wa kuume wala upande wa kushoto.

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:6 katika mazingira