Yos. 23:7 SUV

7 Msiingie kati ya mataifa haya, yaani, haya yaliyobaki kati yenu; wala msitaje majina ya miungu yao, wala kuwaapisha watu kwa majina hayo, wala kuitumikia, wala kujiinamisha mbele yao;

Kusoma sura kamili Yos. 23

Mtazamo Yos. 23:7 katika mazingira