Yos. 24:13 SUV

13 Nami nimewapa ninyi nchi msiyoitendea kazi, na miji msiyoijenga, nanyi mmekaa humo; mnakula matunda ya mashamba ya mizabibu na mizeituni msiyoipanda.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:13 katika mazingira