Yos. 24:14 SUV

14 Basi sasa mcheni BWANA, mkamtumikie kwa unyofu wa moyo na kwa kweli; na kuiweka mbali miungu ambayo baba zenu waliitumikia ng’ambo ya Mto, na huko Misri; mkamtumikie yeye BWANA.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:14 katika mazingira