Yos. 24:18 SUV

18 BWANA ndiye aliyewafukuza watu wa mataifa yote watoke mbele yetu, naam, Waamori waliokaa katika nchi hii; basi, kwa sababu hiyo sisi nasi tutamtumikia BWANA, maana yeye ndiye Mungu wetu.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:18 katika mazingira