Yos. 24:19 SUV

19 Yoshua akawaambia watu, Hamwezi kumtumikia BWANA; kwa kuwa yeye ni Mungu mtakatifu; yeye ni Mungu mwenye wivu; hatawasamehe makosa yenu, wala dhambi zenu.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:19 katika mazingira