Yos. 24:5 SUV

5 Kisha nikawatuma Musa na Haruni nikaipiga nchi ya Misri, kwa hayo yote niliyoyatenda kati yake; hatimaye nikawatoa ninyi.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:5 katika mazingira