Yos. 24:6 SUV

6 Nikawatoa baba zenu watoke Misri; nanyi mkaifikilia bahari; Wamisri wakawafuatia baba zenu kwa magari na wapanda farasi mpaka bahari ya Shamu.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:6 katika mazingira