Yos. 24:8 SUV

8 Kisha nikawaleta na kuwaingiza katika nchi ya Waamori waliokaa ng’ambo ya pili ya Yordani; nao wakapigana nanyi; nikawatia mikononi mwenu, mkaimiliki nchi yao; nami nikawaangamiza mbele yenu.

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:8 katika mazingira