Yos. 24:9 SUV

9 Ndipo Balaki, mwana wa Sipori, mfalme wa Moabu, akainuka, akapigana na Israeli; tena akatuma watu akamwita Balaamu, mwana wa Beori, aje awalaani;

Kusoma sura kamili Yos. 24

Mtazamo Yos. 24:9 katika mazingira