Yos. 3:6 SUV

6 Kisha Yoshua akawaambia makuhani, akasema, Liinueni sanduku la agano, mkavuke mbele ya hao watu. Wakaliinua sanduku la agano, wakatangulia mbele ya watu.

Kusoma sura kamili Yos. 3

Mtazamo Yos. 3:6 katika mazingira