Yos. 6:23 SUV

23 Basi wale vijana wapelelezi wakaingia, wakamtoa Rahabu, na baba yake, na mama yake, na ndugu zake, na vitu vyote walivyokuwa navyo, wakawatoa na jamaa zake wote pia; wakawaweka nje ya matuo ya Israeli.

Kusoma sura kamili Yos. 6

Mtazamo Yos. 6:23 katika mazingira