Yos. 6:24 SUV

24 Kisha wakauteketeza mji kwa moto, na vitu vyote vilivyokuwa ndani yake; bali fedha, na dhahabu, na vyombo vya shaba, na vya chuma, wakavitia katika hazina ya nyumba ya BWANA.

Kusoma sura kamili Yos. 6

Mtazamo Yos. 6:24 katika mazingira