Yos. 7:25 SUV

25 Yoshua akasema, Mbona umetufadhaisha hivi? BWANA atakufadhaisha wewe leo. Ndipo Israeli wote wakampiga kwa mawe, kisha wakawateketeza kwa moto, na kuwapiga kwa mawe.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:25 katika mazingira