Yos. 7:26 SUV

26 Kisha wakakusanya juu yake chungu kubwa ya mawe hata leo; naye BWANA akauacha ukali wa hasira yake. Kwa sababu hiyo jina la mahali pale likaitwa, Bonde la Akori, hata hivi leo.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:26 katika mazingira