Yos. 8:1 SUV

1 Kisha BWANA akamwambia Yoshua, Usiche, wala usifadhaike; wachukue watu wote wa vita waende pamoja nawe, nanyi inukeni, mwende Ai, angalia, mimi nimemtia mkononi mwako huyo mfalme wa Ai, na watu wake, na mji wake, na nchi yake;

Kusoma sura kamili Yos. 8

Mtazamo Yos. 8:1 katika mazingira