Yos. 7:5 SUV

5 Watu wa Ai wakawapiga watu kama thelathini na sita; wakawafuatia kutoka mbele ya mlango mpaka Shebarimu, wakawapiga huko kwenye matelemko; mioyo ya watu ikayeyuka, ikawa kama maji.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:5 katika mazingira