Yos. 7:6 SUV

6 Yoshua akararua mavazi yake, akaanguka kifudifudi mbele ya sanduku la BWANA hata jioni, yeye na wazee wa Israeli; wakatia mavumbi vichwani mwao.

Kusoma sura kamili Yos. 7

Mtazamo Yos. 7:6 katika mazingira