Yos. 8:11 SUV

11 Watu wote, hao wa vita, waliokuwa pamoja naye, wakaenda wakakaribia, na kufikilia mbele ya mji, wakatua upande wa kaskazini wa Ai; napo palikuwa na bonde kati ya yeye na Ai.

Kusoma sura kamili Yos. 8

Mtazamo Yos. 8:11 katika mazingira