Yos. 8:10 SUV

10 Yoshua akaamka asubuhi na mapema, akawakutanisha watu, kisha akatangulia kukwea kwenda Ai mbele ya hao watu, yeye na wazee wa Israeli.

Kusoma sura kamili Yos. 8

Mtazamo Yos. 8:10 katika mazingira