Yos. 9:16 SUV

16 Kisha ikawa, mwisho wa siku ya tatu baada ya kufanya hilo agano nao, walisikia habari ya kuwa watu hao ni jirani zao, na ya kwamba waliketi kati yao.

Kusoma sura kamili Yos. 9

Mtazamo Yos. 9:16 katika mazingira